WATUMISHI 13 KUONDOLEWA UWANJA WA NDEGE WA JULIUS NYERERE!!

Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe akitangaza kuondolewa kwa watumishi 13 katika Uwanja Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere,
Dk Mwakyembe alitoa onyo kwa wafanyakazi wengine waliobaki uwanjani hapo, akisisitiza kwamba ameagiza uchunguzi huo kuendelea na hatua kali zaidi zitachukuliwa kwa watumishi watakaobainika kuendelea na vitendo hivyo.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment