Waandishi wa habari wakirekodi  tukio la kuwasili kwa Mh. Freeman Mbowe (hayuko pichani) Makao Makuu ya Polisi. 
 Mh. Tundu Lissu akiwasili.
Mh. Tundu Lissu akiwasili.  Mbuge wa Ubungo, Mh. John Mnyika akiwa ndani ya gari baada ya kukataliwa kuingia.
Mbuge wa Ubungo, Mh. John Mnyika akiwa ndani ya gari baada ya kukataliwa kuingia.  Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chadema Mh.  Wenje (kushoto), Mh. Msigwa na Mh. Joseph Mbilinyi wakiingia katika jengo hilo.
Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chadema Mh.  Wenje (kushoto), Mh. Msigwa na Mh. Joseph Mbilinyi wakiingia katika jengo hilo.  Mwandishi wa habari Shamim Ausi mmoja wa wanahabari walioumia na kupoteza fedha na mali nyingine.
Mwandishi wa habari Shamim Ausi mmoja wa wanahabari walioumia na kupoteza fedha na mali nyingine.  Wanachama wa Chadema wakiwa wamekalishwa chini na askari.
Wanachama wa Chadema wakiwa wamekalishwa chini na askari. 
 Kina mama ambao ni wanachama wa Chadema waliofika makao makuu ya polisi.
Kina mama ambao ni wanachama wa Chadema waliofika makao makuu ya polisi. 
 Polisi wakiwakimbiza waandishi wa habari (hawako pichani) kwa kutumia mbwa.
Polisi wakiwakimbiza waandishi wa habari (hawako pichani) kwa kutumia mbwa.  Wanahabari wakiwa mekusanyika baada ya kutimuliwa na  mbwa.
Wanahabari wakiwa mekusanyika baada ya kutimuliwa na  mbwa. 

 Mmoja wa wanachama wa Chadema, Kamugisha Ngaiza, alivyowekwa chini ya ulinzi na polisi.
Mmoja wa wanachama wa Chadema, Kamugisha Ngaiza, alivyowekwa chini ya ulinzi na polisi.
 Muonekano wa polisi katika tukio hilo.
Muonekano wa polisi katika tukio hilo.  Askari wakiwa hawataki kuwaona wanahabari eneo hilo.
Askari wakiwa hawataki kuwaona wanahabari eneo hilo.
 Mwandishi wa habari, Badi, akilia kwa uchungu baada ya kuumizwa na mbwa wa polisi.
Mwandishi wa habari, Badi, akilia kwa uchungu baada ya kuumizwa na mbwa wa polisi. 
 
 
 
 
 
 
MNYIKA, WANASHERIA WAZUIWA KUINGIA NDANI WANAHABARI WAKIMBIZWA NA MBWA, WAUMIA, WAMWAGA MACHOZI
 
MAMIA  ya
 watu wamejitokeza leo  kumsindikiza Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha 
Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, baada ya kuhitajiwa 
kufika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi nchini, jijini Dar es Salaam 
kuhusiana na kauli yake aliyotoa majuzi juu ya kuitisha maandamano nchi 
nzima kupinga kuendelea kwa Bunge Maalum la Katiba. 
Kilichofuata
 ni polisi kuamuru watu wote waondoke eneo hilo  kwa umbali wa mita 200 
ambapo walikimbizwa na mbwa wa polisi na kusababisha wengi wao waumie na
 kupoteza vitu vyao mbalimbali, hususani wanahabari ambao baadhi yao 
waliumia na kupoteza zana zao za kazi.
 
                            This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
                          
 
 
 
0 comments:
Post a Comment