Kabla ya uchaguzi huo, nafasi ya 
Naibu Katibu Mkuu Bara ilikuwa wazi kufuatia kusimamishwa uongozi kwa 
aliyekuwa anaishikilia, Zitto Kabwe, Novemba mwaka jana.
 Kwa upande wa Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, nafasi hiyo 
ilichukuliwa na Salumu Mwalimu, Mwandishi wa habari na mtangazaji wa 
kituo cha Channel Ten.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
                            (
                            Atom
                            )
                          

0 comments:
Post a Comment