HABARI PICHA: PATASHIKA KATI YA ASKARI NA MWENYEKITI WA CUF NA WAFUASI WA CHAMA HICHO JANA!!


 Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi(CUF)  Prof. Ibrahim Lipumba  akiwa  anaongea na Askari  kabla ya muda mfupi kuanza sekeseke kwa Askari  kuwapiga  Wafuasi wa Chama hicho  maeneo ya mtoni Dar es Salaam jana.
 Askari akiwa anaongea
 Akiongea na Askari
 Wanahabari wakifatilia kwa makini matukio katika sekeseke la Askari kupiga wafuasi wa Chama Cha ( CUF)
 Patashika mfuasi wa Chama hicho na Askari
Askari wakiwa na mfuasi wa chama cha cuf na  Katikati mwenye kofia nyekundu ni Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi(CUF)  Prof. Ibrahim Lipumba.
 Katika  kumsalimisha Mwenyekiti wao
 Mfuasi wa CUF , katika kujiokoa na hatimae kuzidiwa nguvu na kushambuliwa sehemu mbalimbali za mwili.
 Mfuasi wa chama hicho akiwa katika wakati mgumu Dar es Salaam jana maeneo ya Mtoni .
 Kamanda Simon Sirro: Sijawatuma Askari kupiga  watu.
 Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi(CUF)  Prof. Ibrahim Lipumba , akiwa katika Gari maalum la Polisi.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment