Mwenyekiti
 wa Chama cha Wanachi CUF, Prof Ibrahim haruna Lipumba akiwa Mahakama ya
 Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo alipofikishwa kusjibu shitaka la 
kuhamasisha wanacham awa chama chake kufanya jinai.
 Prof Ibrahim Lipumba akiwatuliza wanachama na wafuasi wa chama hicho kuacha kelele katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
 Wanachama na Wafuasi wa CUF wakiimba nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo.
Mwandishi wa habari kutoka DW akimhoji mmoja wa wanachama wa CUF. 
0 comments:
Post a Comment