Rais Jakaya Mrisho Kikwete na 
ujumbe wake akutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya 
Kidemokrasia ya Algeria Mhe. Abdelaziz Bouteflika katika Ikulu ya nchi 
hiyo jijini Algiers Jumapili May 10, 2015 katika siku ya pili ya ziara 
yake rasmi ya siku tatu nchini humo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete 
akiongea na waandishi wa habari baada ya  kufanya mazungumzo na Rais wa 
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Algeria katika Ikulu ya nchi hiyo jijini 
Algiers Jumapili May 10, 2015 katika siku ya pili ya ziara yake rasmi ya
 siku tatu nchini humo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete  akiwa 
ameongozana na Rais wa Baraza la Nchi ya Algeria Mhe. Abdulkhader 
Bensalah akiwasili katika ukumbi wa El-Mithak Residency jijini Algiers 
kwa dhifa ya kitaifa aliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya
 Algeria Mhe. Abdelaziz Bouteflika katika Ikulu ya nchi hiyo jijini 
Algiers Jumapili May 10, 2015 katika siku ya pili ya ziara yake rasmi ya
 siku tatu nchini humo. 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete  akiwa 
 na Rais wa Baraza la Nchi ya Algeria Mhe. Abdulkhader Bensalah na 
viongozi wengine wakipata picha ya kumbukumbu na kikundi cha utamaduni 
 katika ukumbi wa El-Mithak Residency jijini Algiers baada ya  dhifa ya 
kitaifa aliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Algeria Mhe.
 Abdelaziz Bouteflika katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Algiers Jumapili 
May 10, 2015 katika siku ya pili ya ziara yake rasmi ya siku tatu nchini
 humo. 
Rais Jakaya 
Mrisho Kikwete  akisalimiana na mabalozi wa nchi za Kiafrika katika 
ukumbi wa El-Mithak Residency jijini Algiers baada ya  dhifa ya kitaifa 
aliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Algeria Mhe. 
Abdelaziz Bouteflika katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Algiers Jumapili 
May 10, 2015 katika siku ya pili ya ziara yake rasmi ya siku tatu nchini
 humo. 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete 
akilakiwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Algeria Mhe. 
Abdelmalik Sellal katika  kiunga cha Ikulu ya nchi hiyo cha  Zeralda 
Jumapili May 10, 2015 katika siku ya pili ya ziara yake rasmi ya siku 
tatu nchini humo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete 
akitambulishwa kwa viongozi mbalimbali na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya 
Kidemokrasia ya Algeria Mhe. Abdelmalik Sellal katika  kiunga cha Ikulu 
ya nchi hiyo cha  Zeralda Jumapili May 10, 2015 katika siku ya pili ya 
ziara yake rasmi ya siku tatu nchini humo.
Rais Jakaya 
Mrisho Kikwete akiwa  na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya 
Algeria Mhe. Abdelmalik Sellal katika  kiunga cha Ikulu ya nchi hiyo cha
  Zeralda Jumapili May 10, 2015 katika siku ya pili ya ziara yake rasmi 
ya siku tatu nchini humo.
PICHA NA IKULU








0 comments:
Post a Comment