BARAZA LA MADIWANI ILALA LAKUTANA.



MEYA wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa, akitoa risala ya kufungua kikao cha Baraza la Madiwani kilicho kutana jana katika Ukumbi wa Anatoglo jijini Dar es Salaam. 

Pamoja na mambo Mengine Meya Silaa amemtupia lawama Naibu Waziri wa Wizara ya Kazi na Ajira, Dk Makongoro Mahanga  kuwa ndio chanzo cha kusimamishwa kazi kwa  aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Gabriel Fuime kwa kuandika barua ya malalamiko dhidi yake na Waziri Mkuu kuuagiza uchunguzi kufanyika huku mkurugenzi huyo akiondolewa kazini.

Silaa akiongelea suala hilo huku akipigiwa makofi na madiwani alisema ana;laani vikali migogoro ya kisiasa isyo na tija kwa wananchi ambao ndio wapiga kura. 
 Mbunge pekee kutoka Manipaa ya Ilala ambaye amesifiwa kwa kuhudhuria vikao hivyo vya Baraza la Madiwani Ilala, Mussa Zungu akiwa katika Baraza hilo leo.
 Diwani wa Kipawa Bonnah Kaluwa akipitia nyaraka mbalimbali zilizokuwa zinajadiliwa katika mkutano huo.
Baadhi ya madiwani wakiwa ndani ya kikao hicho.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment