Dk Nchimbi sasa ni Mwenyekiti mpya wa RECSA ambaye
anaiongoza kwa kipindi cha miaka miwili. Hafla ya makabidhiano hayo
ilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Serena, jijini Dar es
Salaam leo. Nchi wanachama wa RECSA ni Burundi, Congo, Djibout,
Ethiopia, Eritrea, Kenya, Rwanda, Sudan, Uganda na Tanzania. Picha na
Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (kushoto) akiwa na
Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa Nchi za Maziwa Makuu na Pembe ya
Afrika katika Mapambano ya Kuzuia na Kudhibiti Uzagaaji wa Silaha Haramu
(RECSA) ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Ndani wa nchini Rwanda, Sheikh
Mussa Fazil Harerimana wakiwa tayari kuipokea bendera ya RECSA kabla ya
Dk Nchimbi kukabidhiwa bendera hiyo ikiwa ni ishara ya kukabidhiwa
kuliongoza baraza hilo kwa kipindi cha miaka miwili. Hafla ya
makabidhiano hayo ilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya
Serena, jijini Dar es Salaam leo. Nchi wanachama wa RECSA ni Burundi,
Congo, Djibout, Ethiopia, Eritrea, Kenya, Rwanda, Sudan, Uganda na
Tanzania. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Mwenyekiti
mpya wa Baraza la Mawaziri wa Nchi za Maziwa Makuu na Pembe ya Afrika
katika Mapambano ya Kuzuia na Kudhibiti Uzagaaji wa Silaha Haramu
(RECSA) na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi
akizungumza na wajumbe wa Baraza hilo pamoja na watendaji wakuu wa
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi pamoja na wananchi mablimbali baada ya
kukabidhiwa uenyekiti huo katika hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa
Mikutano wa Hoteli ya Serena, jijini Dar es Salaam leo. Nchi wanachama
wa RECSA ni Burundi, Congo, Djibout, Ethiopia, Eritrea, Kenya, Rwanda,
Sudan, Uganda na Tanzania. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi. Mwenyekiti
mpya wa Baraza la Mawaziri wa Nchi za Maziwa Makuu na Pembe ya Afrika
katika Mapambano ya Kuzuia na Kudhibiti Uzagaaji wa Silaha Haramu
(RECSA) na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi
(kushoto) akimkabidhi zawadi mwenyekiti aliyemaliza muda wake wa
kuiongoza RECSA ambaye ni Waziri wa Mambo ya Ndani wa nchini Rwanda,
Sheikh Mussa Fazil Harerimana. Hafla ya makabidhiano hayo iliyofanyika
katika Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Serena, jijini Dar es Salaam leo.
Nchi wanachama wa RECSA ni Burundi, Congo, Djibout, Ethiopia, Eritrea,
Kenya, Rwanda, Sudan, Uganda na Tanzania. Picha na Felix Mwagara,
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil (kulia viti
vya mbele) akiwa na watendaji wengine wakuu wa wizara hiyo pamoja na
wageni waalikwa wakimsikiliza kwa makini Mwenyekiti mpya wa Baraza la
Mawaziri wa Nchi za Maziwa Makuu na Pembe ya Afrika katika Mapambano ya
Kuzuia na Kudhibiti Uzagaaji wa Silaha Haramu (RECSA) na Waziri wa Mambo
ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (hayupo pichani) mara baada ya
kukabidhiwa uenyekiti wa RECSA na Waziri wa Mambo ya Ndani wa nchini
Rwanda, Sheikh Mussa Fazil Harerimana. Hafla hiyo makabidhiano
ilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Serena, jijini Dar es
Salaam leo. Nchi wanachama wa RECSA ni Burundi, Congo, Djibout,
Ethiopia, Eritrea, Kenya, Rwanda, Sudan, Uganda na Tanzania. Picha na
Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.
0 comments:
Post a Comment