WALIMU WAKOSA CHOO, WAJISAIDIA KWA JIRANI JIJINI MBEYA, MBUNGE DR. MWANJELWA, ACHANGIA UJENZI WA CHOO CHA WANAFUNZI

 Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya,(CCM) Dr. Mary Mwanjelwa, akizungumza na wazazi wa wanafunzi wa shule ya Msingi Airport, Jijini Mbeya ambako alichangia mifuko 20 ya Saruji kwa ajili ya ujenzi wa choo cha wanafunzi kama alivyoombwa na uongozi wa shule hiyo.
 Kulia ni Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Airport, Elichilia Godson Makupa, akimkabidhi risala Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya,(CCM), Dr. Mary Mwanjelwa, ambapo Mbunge huyo alichangia mifuko 20, kwa ajili ya ujenzi wa choo cha wanafunzi.
 Mbunge wa mkoa wa Mbeya, (CCM), Dr. Mary Mwanjelwa akizungumza na baadhi ya wazazi wa wanafunzi wanaosoma katika shule ya Msingi Airport Jjini Mbeya, ambako alitoa mifuko 20 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa choo cha kisasa cha wanafunzi kama alivyoombwa na uongozi wa shule hiyo.
 Kulia ni diwani wa kata ya Iyela Jijin Mbeya, ndugu Charles(Chadema), akisalimiana na Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya(CCM), Dr. Mary Mwanjelwa alipofika katika shule ya Msingi Airport, shule ambayo ni pacha wa shule ya Msingi Pambogo, ambayo alisoma mwana mziki nguli, Tabia Mwanjelwa, ambaye ni shangazi wa Mbunge, Dr. Mary Mwanjelwa.
 Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa(kushoto), akikabidhi mifuko 20 ya saruji kwa uongozi wa shule ya Msingi Airport, Jijini Mbeya kwa ajili ya ujenzi wa vyoo vya wanafunzi wa shule hiyo kama alivyoombwa na uongozi wa shule hiyo.
 ''Suala la elimu ni letu sote, mimi ni mtu wa kazi na maendeleo, nitumieni, wala si kiongozi wa maneno maneno...''



 Hapa hatupigi siasa, ni vitendo tu....2015 najua wanaopiga midomo na kulaumu serikali badala ya wao pia kushirikiana na wananchi katika maendeleo wataulizwa.....'''

 Wananchi wa kata ya Iyela Jijini Mbeya, wakimsikiliza Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa
 Baadhi ya walimu wa shule ya Msingi Airport, wakimsikiliza Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya(CCM),Dr. Mary Mwanjelwa, alipofika shuleni hapo kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa choo cha wanafunzi ambapo alitoa mifuko 20, ya saruji.
 Wanafunzi hoyeeeeeeeeeee.......
'' Nawapenda nyote...............leteni hoja zenu zenye nguvu ofisini kwangu, tusemezane.....''
 Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa, akiwa katika meza kuu, shule ya Msingi Airport, Jijini Mbeya, tayari kuchangia ujenzi wa chooo cha kisasa cha wanafunzi wa shule hiyo.
 ''Mungu awabariki'' Mbunge wa viti maalum wa mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa, akisalimiana na wanafunzi wa shule ya Msingi Airport ya Jijini Mbeya, alipofika kuchangia ujenzi wa choo cha wanafunzi ambapo alichangia mifuko 20 ya Saruji.
 ''Ndugu zangu amani iwe nanyi''
Kulia ni Mbunge wa viti maalum wa mkoa wa Mbeya, Dr. Mary Mwanjelwa, baada ya kuchangia mifuko 20 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa choo cha wanafunzi wa shule ya Msingi Airport ya Jijini Mbeya, akisalimiana na Mwalimu''shujaa'',Damari Fidelis Obadia, ambaye ilielezwa kuwa ni Mwalimu pekee ambaye alichangia Tsh.100,000 kwa ajili ya ujenzi wa choo hicho cha wanafunzi wa shule hiyo.
www.info@dira yetu.blogspot.com 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment