Mkufunzi Bi.Verediana Akoney akitoa mafunzo hayo |
Katika kuhakikisha ubora na utendaji kazi kwenye kuripoti habari za makundi maalum yakiwemo ya watoto na walemavu Chuo cha Uandishi wa habari na Utangazaji Arusha kimewapatia wanafunzi wake wa ngazi ya Cheti na Stashahada mafunzo ya siku moja yenye kuwaelekeza jinsi ya kuandika habari za watoto.
Mafunzo hayo yalilenga moja kwa moja kuzijua haki za mtoto,heria inayomlinda mtoto, ulinzi kwa mtoto,na jinsi ya kumkinga mtoto na Hatari mbalimbali.
Akitoa mafunzo hayo Bi.Verediana Akoney amesema kuwa ili uweze kuwa mwandishi mzuri wa habari za watoto ni lazima ujenge mazingira yako yakupenda watoto na pia kuwaweka pamoja wanapokuwa wakicheza.
Vilevile amesema kuwa Waandishi wengi wa habari hawapendi kuandika habari za watoto badala yake hupenda kuandika habari za watu wazima jambo linaloashiria kuwatenga watoto na kuwaona hawana haki wakati katika makundi yenye kuhitaji ulinzi na uangalizi mkubwa ni watoto.
"Zingatieni maadili na sheria za uandishi wa habari za watoto ili kuweza kutoa ushirikiano kwa jamii kwakumlinda mtoto kwani nao wana haki sawa na wanahitaji ulinzi, kupendwa na pia kushirikishwa katika masuala mbalimbali ya kijamii." amesema.
Wakufunzi wa Chuo cha Uandishi wa Habari na Utangazaji Arusha nao walikuwepo kushiriki mafunzo hayo.Pichani kushoto Bi.Neema Mwaipela, akifuatiwa na Bw.Andrea Ngobole pamoja na Lukasi mudaha. |
Wakufunzi wa Chuo cha Uandishi wa Habari na Utangazaji Arusha wakielekezana jambo wakati mafunzo hayo yakiendelea kutoka kushoto Andrea Ngobole,Lukasi Modaha pamoja na Elifuraha Shayo. |
Wanafunzi wa ngazi ya Stashahada wakifuatilia kwa umakini mkubwa mafunzo hayo. |

Mkufunzi wa mafunzo ya jinsi ya kuandika na kuripoti habari za watoto Bi.Verediana Akoney akisisitiza jambo kwa wanafunzi wa Chuo cha Uandishi wa Habari na Utangazaji Arusha (AJTC) |
Wanafunzi wa ngazi ya Stashahada wakifuatilia kwa umakini na kutunza kumbukumbu kwa matumizi ya baadae wawapo makazini mara tuu watakapoitimu. |
Rais wa Chuo Cha Uandishi wa Habari na Utangazaji Arusha Bw George Silange (Aliyevaa shati la mistari) Akiwa na Wanafunzi wa ngazi ya Stashahada wakifuatilia kwa umakini mkubwa mafunzo hayo. |
Wanafunzi wa ngazi ya Stashahada wakifuatilia kwa umakini mkubwa mafunzo hayo. |
Wanafunzi wa ngazi ya Cheti wakifuatilia na kuweka rekodi kwa umakiniili kuwasaidia baadae wawapo kazini. |
Mkufunzi wa mafunzo Bi.Verediana Akoney akipitia kitini chake ili kutoa elimu iliyosahihi. |
Wanafunzi wa ngazi ya Cheti wakifuatilia kwa umakini mkubwa mafunzo hayo. |
Meneja mauzowa AIRTEL kanda ya Arusha Bw.Gerald akitoa maelezo kuhusu huduma walizozianzisha hivi karibuni kwa wanafunzi wa Chuo cha Uandiashi wa Habari na Utangazaji Arusha |
Wanafunzi wa ngazi ya Stashahada wakifuatilia kwa umakini mkubwa malezo kuhusu bidhaa zitolewazo na AIRTEL |

Wanafunzi wa ngazi ya Cheti wakifuatilia kwa umakini mkubwa malezo kuhusu bidhaa zitolewazo na AIRTEL |
Wanafunzi wa ngazi ya Stashahada wakifuatilia kwa umakini mkubwa malezo kuhusu bidhaa zitolewazo na AIRTEL |
0 comments:
Post a Comment