Wananchi
wamepewa changamoto ya kutumia taasisi za kifedha kuweka akiba ya pesa
wanazozipata kupitia shughuli mbalimbali za uzalishaji mali.
Mkurugenzi
mtendaji wa Benki ya posta tanzania SABA-SABA MOSHINGI amesema bado
taasisi za kifedha zina wajibu mkubwa kujenga utamaduni kwa wananchi
kutumia huduma za kibenki.
Mkurugenzi
huyo amesema benki hiyo itaendelea kusaidia vikoba mbalimbali nchini
kwa malengo ya kuinua wajasiliamari walioamua kujiajiri wenyewe.
Bwana
Moshingi amesema benki hiyo imekuwa mstari wa mbele katika kutatua
vikwazo mbalimbali vinavyowakabili wananchi hasa vikundi vya vikoba
ambavyo vimekuwa msingi wa kujikwamua kiuchumi kwa wananchi wa kipato
cha chini
0 comments:
Post a Comment