Muheshimiwa
Waziri wa Maliasili na Utalii Kahasheki akikata utepe kuashiria
uzinduzi wa matembezi ya amani ya Tembo Duniani kupinga mauaji ya Tembo
hao.
Muheshimiwa
Waziri wa Maliasili na Utalii Kahasheki akionesha moja ya vibao ambavyo
vinawaonesha Tembo wakati wa Matembezi hayo ya amani.
Kutoka
kushoto ni Mrs. Tibaijuka akifuatiwa na Muheshimiwa Waziri wa Maliasili
na Utalii Kahasheki,Mwenyekiti wa Tanzania Association of Tours
Operators Willbert Chambulo, na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Muheshimiwa
Magesa Mulongo.
Baadhi ya Wanafunzi wakiwa katika Matembezi ya Siku ya Tembo Duniani
Baadhi ya Wanaharakati wakiwa katika Matembezi ya siku ya Tembo Duniani
Ma
elfu ya Wananchi kutoka Arusha pamoja na wadau wengine kutoka Mikoa na
nchi mbalimbali wakiwa katika Matembezi ya siku ya Tembo Duniani yaliyo
Fanyika Arusha Leo
Hawa ni Watoto Shupavu kabisa waliojitolea Mstari wa mbele katika Matembezi ya Tembo leo
Muheshimiwa
Waziri wa Maliasili na Utalii Kahasheki akisaini katika moja la bango
la siku ya Tembo , ikiwa ni sehemu ya kumbukumbu
Maandamano yakiwa yanaendelea
Wa
kwanza kutoka kushoto ni Mr. Peter ambaye ndiye alikuwa katika kamati
kuu ya Maandalizi ya Siku ya Matembezi ya Tembo Duniani, na pia Makamu
mwenyekiti wa Tanzania Association of Tours operators akiwa katika
matembezi hayo
Muheshimiwa
Waziri wa Maliasili na Utalii Kahasheki akiongoza Ma elfu ya watu
wakiingia katika viwanja vya AICC ambapo ndipo ilikuwa kilele cha
Matembezi hayo
Afisa
Mtendaji wa Chama cha Wakala wa Utalii TATO Ndugu Sirili Akko akitoa
Maneno machache kabla ya ufunguzi Rasmi wa Kilele cha Matembezi ya Tembo
Duniani.
Meza
kuu wakiongozwa na Muheshimiwa Waziri wa Maliasili na Utalii Kahasheki
wa nne kutoka kushoto wakiwa wamesimama kwa mda wa dakika moja
kuwakumbuka Waliokufa katika Tukio la Westgate Kenya pamoja na Tembo
walio uwawa .
Mc akiwa anaanza Tukio rasmi kwa kuwakaribisha viongozi mbalimbali kwa ajili ya Kutoa salam zao na Risala
Dr.
Alfred kikoti Akitoa Mada yake juu ya Idadi ya Tembo ambao wamebakia ,
pia kuelezea kutokomeza kwa Biashara haramu ya uuzaji wa uuzaji wa Meno
ya Tembo, na kusisitiza Tanzania inategemea Tembo katika Utalii.
Mwenyekiti
wa Tanzania Association of Tours Operators Ndugu Wilbert Chambulo
akielezea juu ya kusimamisha biashara kubwa ya Meno ya tembo ambayo
inaongozwa na Nchi ya China na kuziomba Nchi zengine kusimamisha
Biashara hiyo Haramu .
Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya Mongela wa Arusha Akimkaribisha Muheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha
Mkuu
wa Mkoa wa Arusha Muheshimiwa Magesa Mulongo akiwashukuru wananchi wa
Arusha kwa kushiriki kikamilifu zoezi la matembezi ya siku ya Tembo
Duniani na kumkaribisha Mgeni Rasmi Muheshimiwa Waziri wa Maliasili na
Utalii Kahasheki kutoa hotuba yake.
Muheshimiwa
Waziri wa Maliasili na Utalii Kahasheki akizungumza na wanaharakati
waliofika katika siku ya Matembezi ya Tembo Duniani, kwa kutoa Salamu
kutoka kwa Muheshimiwa Rais Kikwete kwamba Oparesheni ta kutokomeza
majangili imeanza na Haitasimama, alisisitiza kwamba Wanasheria wafunge
midomo yao kuhusu kutetea haki za binadamu , Aliongeza kwamba majangili
wauwawe huko huko wakikamatwa kurahisisha msongamano wa kesi mahakamani,
na Mwisho aliongeza kwamba Wanasiasa wasiingilie swala hili la
kupambana na ujangili.
Muheshimiwa Waziri wa Maliasili na Utalii Kahasheki akikabidhi vyeti kwa Shule Zilizo Shiriki Katika Matembezi ya Tembo Duniani
Muheshimiwa
Waziri wa Maliasili na Utalii Kahasheki akipokea zawadi kutoka kwa TATO
Anaye mkabidhi zawadi hiyo ni Makamu Mwenyekiti wa TATO Mr. Peter
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh. Magesa Mlongo akipokea zawadi kutoka TATO Anayemkabidhi ni Bi. Tibaijuka
Mkurugenzi
mkuu wa Hifadhi za Taifa Ndugu. Allan Kijazi akitoa neno la Shukurani
wakati wa kufunga Kilele cha siku ya Matembezi ya Tembo Duniani leo
Hawa
ni Wale waliotembea katika Matembezi ya Kupinga mauaji ya Tembo Kutoka
Arusha hadi Dar es salaam Mwendo wa Kilometa 650 kwa Siku 12 Kutoka
kushoto ni Binti Mdogo mwenye umri wa Miaka 20 Kaptorina Manange,Mkazeni
Y. Mkazeni, Rehema Y. Najema, na Livingstone Y. Mkazeni.
Maandamano
haya yalitokea Jirani na Cultural Heritage Hadi Viwanja vya AICC
Kijenge Jijini Arusha, Matembezi yaliyo andaliwa na Tanzania Association
Tours Operators (TATO)
0 comments:
Post a Comment