Wayne Rooney hana hakika kama Arsenal wanaweza kutwaa Ubingwa licha ya kuwa hivi sasa, baada ya Mechi 10 za Ligi Kuu England, wako Pointi 5 mbele kileleni na Jumapili ijayo wanaelekea Uwanjani Old Trafford kuwavaa Mabingwa Manchester United ambao wako Nafasi ya 8 na Pointi 8 nyuma ya Vinara hao.
LIGI KUU ENGLAND
RATIBA
Jumamosi Novemba 9
[Saa 12 Jioni]
Aston Villa v Cardiff
Chelsea v West Brom
Crystal Palace v Everton
Liverpool v Fulham
Southampton v Hull
[Saa 2 na nusu Usiku]
Norwich v West Ham
Jumapili Novemba 10
[Saa 9 Mchana]
[Saa 11 Dak 5 Jioni]
Tottenham v Newcastle
Sunderland v Man City
[Saa 1 Dak 10 Usiku]
Man United v Arsenal
Swansea City v Stoke City
Lakini Rooney anahisi Arsenal hawako imara na ametamka: “Inabidi tungoje na tuone MweziMachi wako wapi. Tumeshawahi kuona wanaongoza hadi Februari au Machi kisha wanafifia. Kwa sasa wanafanya vyema sana lakini ni juu yao kujaribu na kubaki juu na sisi kuwakimbiza kuwakashika.”
Kwa sasa, Man United wanajikongoja kujiweka vyema na Jana Jumanne walitoka Sare ya 0-0 Ugenini huko San Sebasttian walipocheza Mechi ya Kundi A la UEFA CHAMPIONZ LIGI na Real Sociedad na kubaki kileleni mwa Kundi hilo.
Matokeo hayo yamewafanya Man United wawe hawajafungwa katika Mechi 8 zilizopita na huu ni mwendo mzuri ukizingatia walianza Msimu vibaya na hilo limemfanya Rooney aamini ushindi dhidi ya Arsenal ni muhimu mno kwao.
USO kwa USO:
Man United v Arsenal Mechi 175
-Man United Ushindi 75
-Arsenal Ushindi 60
-Sare 40
Rooney amesema: “Tunao uwezo kuwafunga Arsenal. Tumefanya hivyo mara nyingi huko nyuma. Kwa sasa Arsenal wako kwenye fomu nzuri na wanaongoza Ligi, hivyo tunajua Gemu itakuwa ngumu.”
Rooney, ambae amefungana na aliekuwa Straika wa Arsenal Thierry Henry kwa kufunga Bao nyingi kihistoria, Bao 8 kila mmoja, Timu hizi zikukutana, ameongeza: “Lazima tuingie kwenye Gemu tukijiamini tunaweza kuwafunga na kuwasogelea juu. Sasa ni Mechi 10 tu zimechezwa kwa hiyo hamna wasiwasi mkubwa kwa sasa. Tumeanza kufanya vyema. Tunajiamini kwa sasa, hatufungwi mabao na tunacheza kwa uhuru na vizuri. Tukipata ushindi hiyo Jumapili tutakuwa nafasi nzuri.”
MAN UNITED v ARSENAL-Matokeo Mechi za hivi karibuni:
2013-04-28 Ligi: Arsenal 1 Manchester United I
2012-11-03 Ligi: Manchester United 2 Arsenal 1
2012-01-22 Ligi: Arsenal 1 Manchester United 2
2011-08-28 Ligi: Manchester United 8 Arsenal 2
2011-05-01 Ligi: Arsenal 1 Manchester United 0
2011-03-12 FA Cup: Manchester United 2 Arsenal 0
2010-12-13 Ligi: Manchester United 1 Arsenal 0
2010-01-31 Ligi: Arsenal 1 Manchester United 3
2009-08-29 Ligi: Manchester United 2 Arsenal 1
2009-05-16 Ligi: Manchester United 0 Arsenal 0
2009-05-05 UCL: Arsenal 1 Manchester United 3
2009-04-29 UCL: Manchester United 1 Arsenal 0
2008-11-08 Ligi: Arsenal 2 Manchester United 1
2008-04-13 Ligi: Manchester United 2 Arsenal 1
2008-02-16 FA Cup: Manchester United 4 Arsenal 0
2007-11-03 Ligi: Arsenal 2 Manchester United 2
2007-01-21 Ligi: Arsenal 2 Manchester United 1
LIGI KUU ENGLAND
MSIMAMO:
NA
|
TIMU
|
P
|
GD
|
PTS
|
1
|
Arsenal
|
10
|
13
|
25
|
2
|
Chelsea
|
10
|
8
|
20
|
3
|
Liverpool
|
10
|
7
|
20
|
4
|
Tottenham
|
10
|
4
|
20
|
5
|
Man City
|
10
|
17
|
19
|
6
|
Southampton
|
10
|
7
|
19
|
7
|
Everton
|
10
|
4
|
19
|
8
|
Man Utd
|
10
|
4
|
17
|
9
|
Newcastle
|
10
|
-2
|
14
|
10
|
Hull
|
10
|
-2
|
14
|
11
|
West Brom
|
10
|
0
|
13
|
12
|
Cardiff
|
10
|
-4
|
12
|
13
|
Swansea
|
10
|
0
|
11
|
14
|
Aston Villa
|
10
|
-3
|
11
|
15
|
West Ham
|
10
|
0
|
10
|
16
|
Fulham
|
10
|
-5
|
10
|
17
|
Stoke
|
10
|
-4
|
9
|
18
|
Norwich
|
10
|
-14
|
8
|
19
|
Sunderland
|
10
|
-15
|
4
|
20
|
Crystal Palace
|
10
|
-15
|
3
|
0 comments:
Post a Comment