MATOKEO YA DARASA YAMETOKA, UFAULU WAONGEZEKA TOFAUTI NA MWAKA JANA!!

DK. CHARLES E. MSONDE AKITANGAZA MATOKEO YA DARASA LA SABA MAPEMA HII LEO OFISINI KWAKE.

  Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya darasa la Saba mwaka 2014 ambayo yameonyesha ongezeko la ufaulu wa asilimia 56.99 tofauti na ufaulu wa mwaka jana wa asilimia 51.6

Akitangaza matokeo hayo jijini Dar es salaam leo Novemba 5, 2014 Katibu Mtendaji wa Baraza la mitihani Tanzania, Dk.Charles Msonde, ametaja jumla ya wanafunzi waliojisajili kufanya mitihani kufikia 792,118 sawa na asilmia 98.2 na jumla ya watahiniwa 451 wamepata alama 100 au zaidi huku mkoa wa Dar es salaam ukiogoza.

 

HAYA HAPA NDO MATOKEO YENYEWE:

NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA

PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS




Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment