SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 52 YA UHURU WA TANZANIA BARA ZAFANA UWANJA WA UHURU DAR LEO!!


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akipunga mkono kuwasabahi wananchi waliofurika kwenye Uwanja wa Uhuru leo, alipokuwa akiwasili uwanjani hapo kwa ajili ya kujumuika na wananchi kusherehekea miaka 52 ya Uhuru wa Tanzania Bara. 
 Rais Kikwete, akikagua Gwaride.
 Rais Kikwete akikagua Gwaride.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, wakati alipowasili uwanjani hapo.
 Baadhi ya Maofisa wa Vyombo vya Usalama waliohudhuria sherehe hizo.
 Sehemu ya umati wa wananchi waliohudhuria sherehe hizo.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
 Baadhi ya watoto wa Halaiki,
 Rais Kikwete alipokuwa akiwasili uwanjani hapo.
 Rais Kikwete akiwaongoza Viongozi na wananchi kusimama kuimba Wimbo wa Taifa.
 Vijana wa Halaiki wakionyesha umahiri wao wa kucheza sarakasi.
 Kikosi cha Gwaride kikijiandaa kupita mbele ya Jukwaa Kuu baada ya kukaguliwa.
 Vikosi vya Gwaride vikijiandaa.
 Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ambaye naye pia leo anasherehekea maana halisi ya jina lake kutokana na kuzaliwa mwaka uliopatikana Uhuru wa Tanzania, mwaka 1961. na ndiyo maana akaitwa Freeman.
 Kikosi cha FFU kikipita mbele ya Jukwaa kuu na kutoa heshima kwa Rais.
 BABA YUPO KAZINI, huyu ni mpigapicha wa ITV, Idrisa Magomeni, akitafuta shoti itakayomfurahisha bosi wake na watazamaji wake pia.
 Sarakasi.
 Rais Kikwete akitoa salamu za maadhimisho sambamba na salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Rais wa zamani wa Afrika ya Kusini, Nelson Mandera.
 Rais Kikwete, akipiga picha ya pamoja na wasaidizi wake na baadhi ya viongozi baada ya chakula cha mchana.
Wake wa viongozi nao wakipata picha ya pamoja ya kumbukumbu.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment