MATUKIO MBALIMBALI YA MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI YALIYOANDALIWA NA OFISI YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI

Mkemia kutoka ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali Bi. Lulu Kiwia akitoa ufafanuzi kuhusu Kadi ya Usalama wa Kemikali (Material Safety Data Sheet-MSDS) wakati wa mafunzo
 Washiriki wa mafunzo wakiwa kwenye majadiliano
 Washiriki wa mafunzo wakiwa kwenye majadiliano
Mshiriki wa mafunzo akiwasilisha baada ya majadiliano ya vikundi wakati wa mafunzo
Wataalam wa Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali wakiwajibika wakati wa mafunzo kwa waandishi wa habari na taasisi zisizo za kiserikali

Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Ubora wa Bidhaa ndugu Daniel Matata akitoa mada wakati wa Mafunzo
Mkemia wa Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali ndugu Fidelis Segumba akitoa ufafanuzi akielezea sheria DNA na Kanuni zake.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment