MATUKIO PICHA:UZINDUZI WA KAMPENI YA TAIFA YA KUSAMBAZA UELEWA WA RASIMU YA PILI YA KATIBA YA TANZANIA KWA WANANCHI , UKUMBI WA MIKUTANO MLIMANI CITY.


 Kikundi cha muziki kutoka haki za binadamu kikiwa kinatumbuiza kumpokea mgeni rasmi akiwa anaingia
 burudani za muziki wa kiafrika maarufu kama makilikili kikiwa jukwaani kwaajiri ya mapokezi ya mgeni rasmi
 
Mgeni Rasmi Bi.Maafudha Hamidu akiwa amewasili katika ukumbi  
Baadhi ya Watu wakiwa wanampokea mgen rasmi kwa kupiga makofi
 Baadhi ya vikundi vya walemavu wa ngozi wakiwa wamefika kushuhudia uzinduzi  huo
 Kikundi cha vimbwanga kikiwa kinawndelea kutoa burudani kwaajiri ya kuweka ukumbi katika hari ya furaha
Mgeni rasmi akiwa amewasili na kuketi katika meza kuu
 kikundi cha vibwagizo kikiwa kina toa kibwagizo cha bunge la katiba

 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment