Wahariri
wa Vyombo vya Habari wakitembelea eneo la upikaji bia wakati wa ziara
yao iliyofanyika kwenye Kiwanda cha Bia Tanzania cha Dar es Salaam
Mtalaam
wa Upishi Bia wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Benjamin Budigida
akitoa maelezo ya jinsi bia inavyopikwa kwa kutumia njia ya kisasa ya
kompyuta wakati wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari
walipotembelea Kiwanda cha Bia cha TBL Dar es Salaam.
Meneja wa Usimamizi wa Ubora wa Bia wa TBL, Conchesta Ngaiza (kulia) akielezea jinsi wanavyodhiti ubora wa bia.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia Tanzania
(TBL), Robin Goetzsche (kushoto) akisalimiana na Katibu wa Jukwaa la
Wahariri Tanzania, Nevile Meena wakati wa ziara ya wahariri wa vyombo
vya habari katika Kiwanda cha Bia cha TBL Dar es Salaam.Kulia ni
Mkurugenzi wa Fedha wa TBL, Kelvin O'Flaherty.
0 comments:
Post a Comment