DC-HAI AKAGUA UJENZI WA BARABARA ZA MACHAME NA MASAMA!!



Mkuu wa wilaya ya Hai,Novatus Makunga akizungumza na viongozi wa kata ya Machame kaskazini na wale wa Tanroads mkoani Kilimanjaro katika ofisi ya kijiji cha Nshara,Kulia kwake ni Ofisa Tarafa ya Machame Kaskazini Maftah Mohammed.
Mkuu wa wilaya ya Hai Novatus Makunga akipata ufafanuzi wa Ujenzi wa Barabara ya Machame kutoka kwa Kaimu Meneja wa Tanroads mkoan wa Kilimanjaro Mhandisi Reginald Massawe(Kushoto)
Mwenyekiti wa kijiji cha Nshara Bw Awadhi Uronu akimwonyesha mkuu wa wilaya ya Hai Novatus Makunga pamoja na Maofisa wa Tanroads Mkoan wa Kilimanjaro moja ya eneo hatari kwa watumiaji wa barabara ya Machame katika kona ya Lambo.
Mkuu wa wilaya ya Hai Novatus Makunga na maofisa wa Tanroads wakishuhudia mifugo ikiswagwa katika barabara ya Machame eneo la Lambo.

Mkuu wa wilaya ya Hai Novatus Makunga akitoa maelekezo ya barabara ya Machame, kulia ni mmoja wa wataalamu wa ujenzi katika wilaya ya Hai Mhandisi Peace.
Mkuu wa wilaya ya Hai akiangalia moja ya eneo la barabara ya Machame ambalo lina kasoro katika ukarabati wake huku maofisa wa Tanroads mkoa wa Kilimanjaro wakitoa maelezo.





















Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment