LIVERPOOL YATINGA RAUNDI YA 5, YAIOSHA BOLTON 2-0!

Kikosi cha Liverpool.
 BAO la Philippe Coutinho limeipeleka Liverpool kuingia Raundi ya 5 ya FA CUP walipotoka katika nafasi ya nyuma baada ya kuifunga Bolton Wanderers Bao 2-1 Jana Usiku.
Wakicheza kwao, Bolton walitangulia kuifunga Liverpol kwa Bao la Penati ya Dakika ya 59 ya Gudjohnsen na Liverpool kusawazisha katika Dakika ya 86Mfungaji akiwa Raheem Sterling.
Bolton walicheza wachezaji 10 kuanzia Dakika ya 66 baada ya Neill Danns kupewa Kadi Nyekundu.
Kwenye Raundi ya 5 Liverpool watacheza Ugenini na Crstal Palace.
VIKOSI:
Bolton Wanderers (Mfumo 4-4-2): Lonergan; Dervite, Mills, Wheater, Ream; Moxey, Danns, Vela, Feeney; Clough, Gudjohnsen
Akiba: McNaughton, Hall, Trotter, Fitzsimons, Threlkeld, Iliev, Walker.
Liverpool (Mfumo 3-4-3): Mignolet; Can, Skrtel, Sakho; Markovic, Allen, Gerrard, Moreno, Lallana, Sterling, Coutinho
Akiba: Ward, Johnson, Lambert, Henderson, Sturridge, Manquilo, Borini.
REFA: Roger East


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment