HABARI PICHA KUTOKA BUNGE LA BAJETI MJINI DODOMA 28/05/2014!! Unknown 21:48 Edit Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akiwasilisha Bungeni Mjini Dodoma Mei 27,2014 hotuba ya bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2014/2015. Baada ya mjada mrefu ambao pia ulihusisha mahusiano baina ya Tanzania na nchi jirani na namna Tanzania inavyosuluhusha migogoro kwa majirani na lile suala la wapiganaji waasi wa M23 nchini Congo DRC Bajeti hiyo ilipita. Wakuu wa Taasisi Mbalimbali zilizo chini ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, wakifuatilia Bunge wakati wa mjadala wa bajeti ya wizara yao. Wanafunzi kutoka Vyuo vikuu vya Mzumbe (MU) na Dar es Salaam (UDSM) wakifuatilia mijadala ya Bunge wakati wakijadili na kupitisha bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Maofisa mbalimbali kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wakiwa Bungeni mjini Dodoma kufuatilia hotuba ya Bajeti ya Wizara hiyo Mei 27,2014 Wanafunzi kutoka Chuo cha Diplomasia Dar es Salaam wakifuatilia mijadala ya Bunge wakati wakijadili na kupitisha bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Maofisa mbalimbali kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wakiwa Bungeni mjini Dodoma kufuatilia hotuba ya Bajeti ya Wizara hiyo Mei 27,2014. Wanafunzi kutoka Chuo cha Diplomasia Dar es Salaam wakifuatilia mijadala ya Bunge wakati wakijadili na kupitisha bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Wanafunzi kutoa vyuo mbalimbali vya Diplomasia, Chuo Kikuu Mzumbe na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam walipiga picha na Waziri. Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About Unknown This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel. RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment