Mkufunzi mwandamizi katika idara ya Uandishi na Utangazaji katika Chuo hicho Bw.Onesmo Elia Mbise akitoa utaratibu wa mashindano hayo. |
Makamu Mkuu wa Chuo cha Uandishi wa Habari na Utangazaji Arusha Bw.Elifuraha Samboto (kulia) akiskiliza kwa makini utaratibu wa mashindano hayo,kushoto ni Bw.Lucas Mudah mhadhiri katika Chuo hicho. |
Wanafunzi wa ngazi ya Diploma katika Chuo hicho wakiskiliza kwa makini muogozo wa mahindano hayo. |
Baathi ya wanafunzi wa ngazi ya Cheti na Diploma wakiskiliza kwa makini utaratibu wa mashindano hayo yatakavyoenda. |
Wanafunzi wa ngazi ya Cheti wakiwa makini katika kuandika habari wakati wa kutolewa muongozo wa mashindano hayo. |
Mkufunzi Mwandamizi Bw.Onesmo Eliya Mbise akionyesha kombe litakalotolewa kwa mshindi atakayefanya vizuri kila kipengele. |
Kombe lililoandaliwa kwaajili yakukabidhiwa mshindi wa kwanza atakaefanya vizuri kila kipengele. |
Mmoja wa wanafunzi kutoka katika darasa la Mount Evarest akichukua tiketi itakayomwonyesha Darasa lake litashiriki kwenye namba ngapi wakati wa shindano hilo. |
Lucas Mudah akitoa utaratibu wa mchakato mzima utakavyoenda mara tu baada ya kila darasa kujichagulia namba ya ushiriki katika shindano hilo. |
Wanafunzi wa ngazi ya Diploma na Chei katika Chuo hicho wakiskiliza kwa makini muogozo wa mahindano hayo. |
Makamu Mkuu wa Chuo Cha Uandisi wa Habari na Utangazaji Arusha Bw.Elifuraha Samboto akisisitiza jambo mara tuu babada ya uwasilishwaji wa utaratibu wa mashindano hayo utakavyokuwa.
0 comments:
Post a Comment