Wajumbe wa Bunge Maalum la katiba wakianza Majadala wa Rasimu ya Katiba utakaochukuwa siku sitini kamili Mjini Dodoma. Baadhi wa wajumbe wa Bunge maalum la Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wakiingia ndani ya Ukumbu wa Bunge Mjini Dodoma Kuanza nngwe ya pili ya mjadala baada ya kuahirishwa Tarehe 25 April 2014 kulipisha Bunge na Bajeti na Baraza la Wawakilishi Zanzibari.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment