KATIBU MKUU WA NISHATI NA MADINI ELIAKIM MASWI AFANYA ZIARA KWENYE MRADI WA BOMBA LA GESI MKOANI LINDI!!


Picha Na. 2Mtaalamu mwelekezi kutoka katika kampuni ya Worley Parsons,  Pieter Erasmus akitoa maelezo  kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya  Nishati na M adini, Eliakim Maswi jinsi uunganishaji wa bomba la gesi unavyofanyika.Picha Na. 3Wafanyakazi  wakiendelea na kazi ya uchomeaji wa bomba la gesi.Picha Na. 4Kazi ya uunganishaji wa bomba la gesi  ikiendeleaPicha Na. 5Katibu Mkuu wa Wizara ya  Nishati na Madini Eliakim Maswi akizungumza na waandishi wa habari juu ya hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa bomba la gesi ikiwa ni pamoja na ukamilishwaji wake
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment