Katibu
 wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa Habari
 nje ya ukumbi wa NEC mjini Dodoma ambapo aliwaeleza kuwa Kikao cha NEC 
kilikamilika vizuri ambapo wajumbe waliijadili Rasimu vizuri na CCM 
kubaki na msimamo wa Serikali mbili .
Katibu
 wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa Habari
 nje ya ukumbi wa NEC mjini Dodoma na kuwaambia CCM bado imebaki na 
msimamo wake wa Serikali mbili wenye maboresho.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
                            (
                            Atom
                            )
                          


0 comments:
Post a Comment