KINANA AMALIZA ZIARA YAKE KATIKA JIMBO LA TUNDURU KUSINI, KESHO NI TUNDURU KASKAZINI!!

1a 
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kulia akiwa na Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dr. AshaRose Migiro na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi ,wakishiriki katika ujenzi wa daraja la Lukumbo Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma wakati akiwa katika ziara yake ya kikazi yenye lengo la kukagua ilani ya uchaguzi wa Chama cha Mapinduzi na kukagua miradi ya maendeleo huku akihimiza wananchi kushiriki katika shughuli za maendeleo ili kujiletea maendeleo huku Serikali ikipanga mipango ya maendeleo na kuleta chachu ya maendeleo nchini, Katibu Mkuu huyo pamoja na ujumbe wake kesho wanaendelea na ziara yao katika jimbo la Tunduru Kaskazini baada ya kumaliza ziara katika jimbo la Tunduru Kaskazini linaloongozwa na Mh. Mtutura Abdallah Mtutura.
1aa 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana katikati akiongoza wananchi kwa kukimbia mchakamchaka kuelekea shule ya sekondari ya kata ya Mchoteka ambako alishiriki katika shughuli za ujenzi wakati aliposhiriki kuchimba msingi wa maabara ya shule hiyo 2a 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana, Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dr. AshaRose Migiro katikati na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi wakishiriki katika ujenzi wa daraja la Lukumbo wilayani Tunduru. 3 
Wazee wa kijiji cha Lukumdo wakimsubiri mgenzi rasmi Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana. 4 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na Oddo Munisi Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Ruvuma wakikagua daraja la Kukundo  5 
Mkazi wa kijiji cha Lukunbo Bi. Mwanabibi Kasembe akielezea furaha yake mara baada ya kuanza kwa ujenzi wa daraja hilo. 6 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiuliza jambo wakati alipokagua ujenzi wa daraja hilo leo. 8Wanahabari wakiwajibika katika ziara hiyo. 9 
Mbunge wa jimbo la Tunduru Kusini Mh. Mtutura Abdallah Mtutura akizungumza wakati Ndugu Abdulrahman Kinana alipokagua ujenzi wa nyumba za walimu katika shule ya sekondari ya kata ya Mchoteka leo Kulia ni Nape Nnauye na kutoka kushoto ni Dr. Asha Rose Migiro huku Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisikiliza. 10 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi katika kata ya  13 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na viongozi wengine wakishiriki katika uchimbaji wa msingi wa maabara ya shule ya sekondari ya Mchoteka Wilayani Tunduru leo. 16 
Akina mama wakicheza ngoma ya asili katika uwanja wa mkutano kwenye kata ya Mtina Wilayani Tunduru 17Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dr. AshaRose Migiro akisalimia wananchi katika mkutano wa hadhara kwenye kata ya Mtina Wilayani Tunduru. 18 
Kikundi cha Ngoma kikitumbuiza katika kata ya Mtina leo 20 
Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu akiwasilimia wananchi wa Kata ya Mtina katika mkutano wa hadhara uliofanyika kijiji cha Mtina. 21 
Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi  akizungumza na wana Mtina kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kijijini hapo leo. 22 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinanaakiwahutubia wananchi wa kata ya Mtina katika wilaya ya Tunduru.
POSTED BY:www.info@dirayetu.blospot.com
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment