Ndugu watanzania nimelazimika
kuusambaza kwa KUUATACH waraka huu wa siri wa mawasiliano ya ndani ya
chama baina ya mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Katibu mkuu, na wanaoitwa
wajumbe wa baraza la maamuzi la chama ambao kwa kweli sijafanikiwa
kuwafahamu.
Waraka
huu nimeuchomoa kwenye file la kazi za kila siku za ndugu HEMEDI SABULA
ambaye ni Afisa wa kurugenzi ya ulinzi na usalama wa CHADEMA MAKAO
MAKUU.
Ujumbe
uliokuwepo ndani ya huu waraka ni wa kusikitisha sana kiasi kwamba
nimeshindwa kuvumilia kuacha kuona watanzania wakiendelea kupotoshwa
namna hii.
Tafadhali
wanahabari sambazeni ujumbe huu ili watanzania wengi zaidi waweze
kuendelea kutambua kinachoendelea ndani ya chama chetu.
Ninaomba niendelee kuficha jina langu kwa sasa
Niiteni mwanamapinduzi mzalendo.
Makao makuu chadema.
0 comments:
Post a Comment