

Haikuweza kufahamika mara moja lilikuwa limebeba mzigo gani na kama dereva alikuwa anajua daraja hilo ni kwa magari yenye uzito wa wastani wa tani 7 tu au ni kiburi tu. Hakika Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli na jeshi lake wana kazi ya ziada kuhakikisha uzembe kama huu hautokei na haujirudii.
0 comments:
Post a Comment