KERO ZA HOSPITALI YA WILAYA YA HAI KUFICHUWA!!


Mwenyekiti wa Mtaa wa Kibaoni ambaye pia ni diwani wa viti maalumu(CCM) Mheshimiwa Amina aliyesimama kulia, akisoma risala ya mtaa wake mbele ya mkuu wa wilaya ya Hai,Novatus Makunga
Baadhi ya wananchi wa Mtaa wa Kibaoni wakifuatilia kwamakini mkutano wa mkuu wa wilaya ya Hai,Novatus Makunga.
Mkuu wa wilaya ya Hai,Novatus Makunga akipokea risala kutoka kwa mwenyekiti wa Mtaa wa Kibaoni.
Baadhi ya wananchi wakifuatilia mkutano
Mkuu wa wilaya ya Hai akizungumza na wananchi wa Kibaoni
Mhandisi wa ujenzi mwandamizi,Mhandisi Mollele aliyesimama kulia akitoa ufafanuzi wa masuala ya barabara katika mkutano wa mkuu wa wilaya ya Hai katika mtaa wa Kibaoni
Wananchi wa kibaoni wakimsikiliza mkuu wa wilaya ya Hai,Novatus Makunga
Wananchi wa kibaoni wakifuatilia mkutano wa Mkuu wa wilaya ya Hai

Mkuu wa wilaya ya Hai akizungumza na wananchi katika mtaa wa Kibaoni




































Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment