SERIKALI YAOMBWA KUTENGA BAJETI KWA SHULE KONGWE NCHINI!!


ff10c0edfaL
alipokuwa akizungumza na wadau na wazazi katika mahafali ya 21 ya
kidato cha sita yaliyofanyika shuleni hapo ambapo jumla ya wahitimu
153 walitnukiwa vyeti vyao.

ukarabati kila mwaka haswa kwa shule kongwe zenye wanafunzi wenye
vipaji maalum kiakili ili walau iweze kuwafanya wanafunzi hao kujituma
zaidi kwa kuwa kuwepo kwa mazingira mazuri ya kujifnzia kunachangia
hata wanafunzi kfanya vizuri katika masomo yao.

ukarabati wa baadhi ya  majengo na miundombinu mingine baada ya
serikali kutoa kiasi cha shilingi milioni 100 ambapo kupitia fedha
hizo waliweza kukarabati mabweni sita pamoja na bwalo ambapo ukarabati
huo umechangia sana kuongeza kiwango cha ufaulu shuleni hapo.

ukarabati wa majengo kwa kila mwaka ili kuzijengea mazingira ya
kujifunzia na kufundishia hali hii itachangia sana kuwafanya wanafuzi
wajitume zaidi katika kufanya vizuri katika masomo yao”aliongeza
Shula.

bado inakabiliwa na changamoto ya upungufu mkubwa wa walimu wa masomo
ya sayansi kutokana na idadi kubwa ya wanafunzi wanaosoma masomo ya
sayansi hali inayosababisha shule kutafuta walimu wa muda ambao malipo
yao ni makubwa sana kwa mwezi huku shule ikiwa haina uwezo wa kumudu
gharama hizo.

madarasa pamoja na nyumba za watumishi ambapo wanafunzi wanakosa
mahali pazuri pa kujifunzia kutokana na uchakavu mkubwa wa madarasa
huku nazo nyumba za walimu zikiwa zinakatisha tama kwa kuwa nyumba
wanazoishi sio rafiki kabisa.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment