BENKI YA TIB YAKABIDHI MICHORO HALISI YA KITUO CHA MABASI KWA UONGOZI WA MANISPAA YA MOSHI!!.




Mkurugenzi wa Mipango na Mikakati wa Benki ya TIB,Jaffer Machano akizungumza wakati wa kikao kifupi kati ya uongozi wa TIB na ule wa Manispaa ya Moshi juu ya Ujenzi wa kituo kipya cha kisasa cha Mabasi cha Ngangamfumuni .
Kikao kinaendelea.
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi ,Jafary Michael akizungumza wakati wa kikao hicho.
Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi ,Shaban Ntarambe akitoa neno la shukrani wakati ujumbe wa Benki ya TIB ulipotembelea ofisini kwake kwa ajili ya kukabidhi michoro halisi ya kituo kikuu cha mabasi cha kisasa cha Ngangamfumuni .
Mkurugenzi mkuu wa Benki ya TIB, Peter Noni akimkabidhi Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi Jafary Michael ,CD ya mchoro halisi wa Jengo la kisasa la kituo kikuu cha Mabasi cha
Ngangamfumuni mkoani Kilimanjaro
Uongozi wa Benki ya TIB ulipofika ofisini kwa mkurugenzi wa manispaa ya Moshi ,Shaban Ntarambe kwa ajili ya kukabidhi michoro halisi ya jengo la kisasa la kituo kikuu cha Mabasi cha Ngangamfuni.toka shoto ni Mkurugenzi mkuu wa TIB ,Peter Noni,Jaffer Machano (Mkurugenzi wa Mipango na Mikakati wa TIB)
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment