CHELSEA,EVERTON ZASHUTUMIWA VIKALI!!

Wachezaji wa Chelsea na Everton wakigombana uwanjani.
Shirikisho la mpira FA imezishutumu klabu za Everton na Chelsea baada ya wachezaji wa timu hizo mbili kugombana uwanjani.

Klabu hizo zinashutumiwa kwa kushindwa kuhakikisha kuwa wachezaji wake wanaepuka mivutano uwanjani na kuepuka vitendo vyenye kuchochea vurugu.

Mchezaji wa Chelsea Branislav Ivanovic hatachukuliwa hatua zaidi baada ya kugombana na James McCarthy, kwenye mchezo wa jumatano wa ligi kuu ya England ambapo Chelsea iliondoka na ushindi wa goli moja bila dhidi ya Everton.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment