LIGI KUU VODACOM: AZAM YAIBAMIZA MTIBWA 5-2, AZAM YAREJEA KILELENI!!

Kikosi cha Azam FC wakiwa uwanjani uwanjani wakipambana na Mtibwa Suger.
LEO hii huko Azam Complex, Chamazi, kwenye Viunga vya Jiji la Dar es Salaam, Mabingwa Watetezi wa Ligi Kuu Vodacom, Azam FC, wamerejea kwenye uongozi wa Ligi hiyo baada ya kuibamiza Mtibwa Sugar Bao 5-2.
 
Hadi Mapumziko Azam FC walikuwa mbele kwa Bao 3-1 huku mabao hayo yakiwa yametumbukizwa nyavuni na  Kipre Tchetche, Frank Domayo na Didier Kavumbagu wakati Bao la Mtibwa Sugar likipachikwa na Musa Nampaka.

Kipindi cha Pili, Domayo akaipa Azam Fc bao la 4 na Amer Ali kuipa Mtibwa Bao lao la Pili lakini Kipre Tchetche akawakata maini na kupiga Bao la 5 na kuifanya Gemu imalizike 5-2.

Hivi sasa kileleni Azam FC imefungana kwa Pointi na Yanga, wote wakiwa na Pointi 25 kwa Mechi 13 lakini Azam FC wako juu kwa Ubora wa Magoli.

Ligi Kuu Vodacom itaendelea Wikiendi kwa Mechi kadhaa bila ya Azam FC na Yanga kushiriki kwa vile wana Mechi za Klabu Barani Afrika za Mashindano ya CAF.

RATIBA:
Jumamosi Februari 14
Ndanda FC v Mtibwa Sugar                  
Coastal Union v Mbeya City                  
Stand United v Mgambo JKT 
                
Jumapili Februari 15
Polisi Morogoro v Simba
Kagera Sugar v JKT Ruvu
Jumamosi Februari 21

Mbeya City v Yanga
Kagera Sugar v JKT Ruvu
Ndanda v Coastal Union
Mgambo Shooting v Mtibwa Sugar

Jumapili Februari 22
Stand United v Simba
Azam FC v Tanzania Prisons

Jumatano Februari 25
Mbeya City v Ruvu Shooting 

MSIMAMO:
NA
TIMU
P
W
D
L
F
 A
 
GD
PTS
1
Azam FC
13
7
4
2
22
12
 
10
25
2
Yanga
13
7
4
2
15
7
 
8
25
3
Polisi Moro
14
4
7
3
12
11
 
1
19
4
JKT Ruvu
14
5
4
5
14
14
 
0
19
5
Ruvu Shooting
14
5
4
5
10
11
 
-1
19
6
Mtibwa Sugar
13
4
6
3
15
14
 
1
18
7
Coastal Union
14
4
6
4
10
9
 
1
18
8
Kagera Sugar
14
4
6
4
11
11
 
0
18
9
Simba
13
3
8
2
13
11
 
2
17
10
Mbeya City
13
4
4
5
9
11
 
-2
16
11
Ndanda FC
14
4
3
7
13
18
 
-5
15
12
Mgambo JKT
12
4
2
6
6
11
 
-5
14
13
Stand United
14
2
6
6
9
17
 
-8
12
14
Tanzania Prisons
13
1
8
4
10
12
 
-2
11
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment