ASERNAL YANUSURIKA KIPIGO, WILSHERE AIOKOA DAKIKA YA 63, SPURS YALA 3-0 ZA UKWELI NYUMBANI KWAKE!!

Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sportsmail
KIUNGO Jack Wilshere ameinusuru Arsenal kuzama mbele ya  West Brom baada ya kusawazisha bao katika dakika ya 63 leo hii.
West Bron ndio walikuwa wa kwanza kuandika bao la kuongoza katika dakika ya 42 kupitia kwa Claudio Yacob.
Kikosi cha WEST BROM: (4-4-1-1) Myhill 7, Jones 7, McAuley 7, Olsson 7, Ridgewell 6; Amalfitano 7, (Brunt 89) Mulumbu 9, Yacob 8, Berahino 8; Sessegnon 8; (Morrison 78, 6) Anelka 5. (Long 69, 6) 
Kikosi cha ARSENAL: (4-4-1-1) Szczesny 7, Jenkinson 6, Mertesacker 7, Koscielny 6, Gibbs 7; Ramsey 5, (Rosicky 59, 6) Arteta 7, Flamini 7, Wilshere 7; Ozil 6; Giroud 7. (Bendtner 85) 
The equaliser: Jack Wilshere celebrates the goal that rescued Arsenal from defeat at West BromAlisawazisha: Jack Wilshere akishangilia bao lake la kusawazisha na kuinusuru  klabu yake ya Arsenal kuzama mbele ya  West Brom
Classy: Germany international Mesut Ozil again impressed for the Gunners 
Mkali: Nyota wa kimataifa, raia wa Ujerumani, Mesut Ozil anaonesha kiwango kikubwa Gunners 
The opening goal: West Brom's Claudio Yacob headed his side in front in the 42nd minute
Bao la kwanza: Nyota wa West Brom ,  Claudio Yacob akiandika bao la kuongoza katika dakika ya 42Mchezo mwingine uliokuwa na mvuto ulikuwa baina ya Tottenham dhidi ya Wagonga nyundo wa London, West Ham na wamelala nyumbani baada ya kula kipigo cha mabao 3-0. Wagonga nyundo wameshinda mabao matatu na huo ni ushindi wao wa kwanza katika dimba la White Hart Lane tangu mwaka 1999.
Kikosi cha Tottenham: Lloris 5, Walker 5, Dawson 5, Vertonghen 6, Naughton 5 (Holtby 81), Dembele 5, Paulinho 5, Townsend 6, Eriksen 5 (Soldado 74), Sigurdsson 5 (Lamela 63), Defoe 5.
Wachezaji wa Akiba: Friedel, Chiriches, Chadli, Sandro,. 
Kikosi cha West Ham: Jaaskelainen 7, Demel 7, Tomkins 8, Reid 9, Rat 7, Noble 7 (O’Brien 91), Morrison 8, Nolan 7, Downing 7, Diame 8 (Collins 80), Vaz Te 8 (Cole 86).
Wachezaji wa akiba: Adrian, Jarvis, Petric, Maiga.
Waliofunga mabao leo: Reid 66, Vaz Te 72, Morrison 79
Mwamuzi: Lee Probert 
Shock: Winston Reid celebrates after giving West Ham the lead at White Hart LaneMshituko: Winston Reid akishangilia bao lake la kuongoza katika dimba la  White Hart Lane 
Cute finish: Ravel Morrison puts in the third for the visitors 
Kamalizia vizuri: Ravel Morrison  akiandika bao la tatu na la ushindi mnono.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment