Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete(kulia) akimpokea Balozi wa Japan nchini
Masaki Okada(katikati). Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shule ya
Sekondari ya Wasichana ya watoto yatima na wanaoishi katika mazingira
hatarishi(WAMA – Nakayama) Ramadhani Dau wakati alipotembelea shule
hiyo leo iliyopo wilayani Rufiji mkoa wa Pwani.
Rais
Jakaya Kikwete kulia akimpokea Balozi wa Japan nchini Masaki Okada
(kushoto). Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shule ya Sekondari ya
Wasichana ya watoto yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi(WAMA –
Nakayama) wakati walitembelea shule hiyo leo iliyopo wilayani
Rufiji mkoa wa Pwani.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete(kulia) akizungumza jambo na Balozi wa Japan
nchini Masaki Okada(kushoto ). Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shule
ya Sekondari ya Wasichana ya watoto yatima na wanaoishi katika
mazingira hatarishi(WAMA – Nakayama)
Ramadhani Dau wakati walitembelea shule hiyo leo iliyopo wilayani
Rufiji mkoa wa Pwani.
Rais
Jakaya Kikwete akisalimiana na Mwalimu wa masomo ya Kiingereza na
Uraia wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya watoto yatima na wanaoishi
katika mazingira hatarishi(WAMA –
Nakayama) Sophia Shafii wakati alipotembelea shule hiyo leo
iliyopo wilayani Rufiji mkoa wa
Pwa
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete( wa tatu kushoto) na Balozi wa Japan nchini
Masaki Okada( wa pili kulia) wakitia saini mkataba wa msaada wa
kutayarisha vifaa vya maabara, ujenzi wa zahanati na kutoa mtambo wa
maji wa kutumia jenereta wenye thamani milioni 170 kwenye Shule ya
Sekondari ya Wasichana ya watoto yatima na wanaoishi katika mazingira
hatarishi(WAMA – Nakayama) . Kulia wa kwanza ni Rais Jakaya Kikwete na
kushoto wa pili ni Mwenyekiti wa bodi ya shule hiyo ,Ramadhani Dau .
Kushoto wa kwanza ni Mwalimu Mkuu wa shule hiyo Suma Mensah. Hafla
fupi hiyo iliyafanyika leo katika shule hiyo iliyopo wilayani
Rufiji mkoa wa Pwani.
Rais Jakaya
Kiwete (katikati) alipokuwa akitembelea Shule ya Sekondari ya Wasichana
ya watoto yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi(WAMA –
Nakayama) leo iliyopo wilayani Rufiji mkoa wa Pwani wakati wa ziara
yake .Kushoto ni Mwalimu Mkuu wa shule hiyo Suma Mensah na kulia ni
Mwenyekiti wa bodi ya shule hiyo Ramadhani Dau. Rais Jakaya
Kiwete akisoma moja ya kitabu cha somo la Fizikia katika mkataba
ya Shule ya Sekondari ya Wasichana ya watoto yatima na wanaoishi
katika mazingira hatarishi(WAMA – Nakayama) leo iliyopo wilayani
Rufiji mkoa wa Pwani wakati alipotembelea shule hiyo katika ziara
yake.Kulia ni Mwalimu Mkuu wa shule hiyo Suma Mensah.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete(aliyevaa kitenge) akizungumza jambo
na Balozi wa Japan nchini Masaki Okada( wa pili kushoto)
wakati alipokuwa akitembelea Shule ya Sekondari ya Wasichana ya
watoto yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi(WAMA – Nakayama)
Ramadhani Dau wakati walitembelea shule hiyo leo iliyopo wilayani
Rufiji mkoa wa Pwani.
Picha zote na Magreth Kinabo – Maelezo.
0 comments:
Post a Comment