SHEREHE YA MAKAMISHNA WASAIDIZI WAANDAMIZI 22 WA JESHI LA MAGEREZA WALIOPANDISHWA CHEO HICHO YAFANA JIJINI DAR ES SALAAM

photo  
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini, John Casmir Minja( wa tatu kushoto) akiwa na Makamishna wa Magereza katika meza Kuu pamoja na Viongozi Wengine Waandamizi wa Serikali(wa pili kushoto) ni Kamishna wa Huduma za Urekebishaji, Deonice Chamulesile(wa kwanza kushoto) ni Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza, Dkt. Juma Malewa(wa pili kulia) ni Kamishna wa Utawala na Fedha,  Gaston Sanga(wa tatu kulia) ni Mkurugenzi wa Mamlaka ya Vitambulisho vyaTaifa, Dickson Maimu.image (1) Mke wa Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, Dkt. Flora Minja(wa kwanza kulia) akiwa katika hafla fupi ya kuwapongeza Makamishna Wasaidizi Waandamizi wa Magereza 22 ambao wamepandishwa na Mhe. Rais Dkt. Jakaya Kikwete hivi karibuni. Sherehe za uvalishaji vyeo zimefanyika jana katika Chuo cha Maafisa Magereza Ukonga, Dar es Salam(wa kwanza kulia) ni Mtendaji Mkuu wa Helmet Iniciative Company Ltd, Alpherio Moris ambaye pia ni Mtaalam Mshauri katika mradi  wa uzalishaji wa Kofia ngumu wa Gereza Kuu Ukonga.image (3) 
Baadhi ya Makamanda wa Jeshi la Magereza wakiwa katika hafla ya kuwapongeza Makamishna Wasaidizi Waandamizi wa Jeshi la Magereza ambao wamepandishwa cheo hicho na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete hivi karibuni.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment