nshau.
Pichani kulia ni Mkurugenzi wa Redio MAMBO JAMBO fm (MJ redio) Bw JONATHAN NJAID akifuatiwa na fundi mitambo Bw Sjaona Massawe pamoja Mhariri mkuu Bw.deogratius Michael Lyimo. |
Mtangazaji Nickson Robert Jonathan akipangilia miziki kabla ya kuanza kipindi rasmi. |
Mtangazaji Nickson Robert Jonathan akitoa ishara yakuashiria kipindi kimeanza rasmi. |
Bi. Nasra Kimaro (kushoto) na Bi.Merlyine Olotu wakiskiliza kwa makini mfululizo wa yatakayojiri katika kipindi hicho. |
|
Mtangazaji Gilbert Boniface akielezea waskilizaji umuhimu wakupiga simu hapo studio nakutoa maoni juu ya wageni waliokaribishwa katika kipindi hicho,pembeni ni mtangazaji Nickson Jonathan akimsiliza kwa makini. |
Bi Virginia Daniel akichangia mada juu ya umuhimu wa serikali kutumia mfumo wa VIDEO katika ufundishaji wa tamthilia kwenye Mitaala yake. |
Walionyoosha mikono juu ni Bi.Mwajuma Abdul pamoja na Bi.Virginia Daniel wakiashiria kuipinga hoja ya Bi.Merilyine Olotu, kushoto kabisa ni Bw Elibariki Madih akifuatilia kwa makini na mdahalo huo. |
Fundi mitambo wa Redio Mambo Jambo Bw.Sjaona Masawe akijaribu timetable katika moja ya kazi zake za kila siku. |
Blogger Emanuel Ndanshau (aliyekaa)akifuatilia kwa makini kipindi baada kuhojiwa akiwa ndiye Msaka Tonge wa siku. |
Kipindi hicho kinalenga kuibua mambo yanayotokea katika chule za Sekondari na Vyuo yenye kurekebisha na kukosoa tabia mbalimbali za wanafunzi pamoja na kubadilishana vipawa mbalimbali.
Pamoja na hayo kipindi hicho kitarushwa kila siku ya Jumamosi kuanzia saa tano kamili hadi kufikia muda wa saa nane.
katika uzinduzi huo wanafunzi hao wa darasa la NATRON wamepata nafasi yakuzungumzia mambo mbalimbali kama ratiba inavyoonyesha hapa chini.
MUDA
|
SEGMENT
|
TOPIC
|
05:00-05:05
|
LISAA
LA KWANZA.
|
|
|
Jingo za kipindi na matangazo ya
wadhamini.
|
|
|
|
|
05:05-05:15
|
Top 5 music.
|
Chaguo la wanafunzi wenyewe.
|
|
|
|
05:15-05:25
|
Usicho kijua katika ulimwengu huu.
|
Kuwafamisha wasikilizaji vitu wasio
vijua katika ulimwengu.
|
|
|
|
05:25-05:35
|
Genge la Pastor Rastar.
|
Maoni ya wanafunzi kuhusu kero zinazo
wahusu katika elimu.
|
|
|
|
05:35-05:48
|
Msakatonge na skuli.
|
Mwanafunzi anaejishugulisha na biashara
huku akiwa bado anasoma.
|
|
|
|
05:48-06:00
|
Kibonzo/ kipi kikali?
|
Kinatoka kwa mmoja ya wanafunzi
walioko studio.
|
|
|
|
|
LISAA
LA PILI.
|
|
06:00-06:10
|
School boning life.
|
Mwanafunzi kuelezea changamoto za maisha ya shule ya
kulala.
|
|
|
|
06:10-06:25
|
Face to face qustion.
|
Maswali ya papo hapo kutoka kwa
mtangazaji kwenda wanafunzi,
|
|
|
|
06:25-07:00
|
Student debate.
|
Wanafunzi
wanakuwa na mdaalo ambapo mada anaitambulisha mtangazaji.
|
|
|
|
07:00-07:30
|
Wasikilizaji kupiga simu.
|
Wasikilizaji wa kipindi kupiga simu na kuchangia
mada kwa ufupi pamoja na kusoma sms zao.
|
|
|
|
07:30-07:38
|
Wazo la mnama.
|
Ni mada inayotambulishwa na
mtangazaji,kisha wasikilizaji kuichangia kwa kupiga simu,ikiwa katika hali ya
ucheshi.
|
|
|
|
07:38-07:45
|
My introduction
|
Wanafunzi wawili kujitambulisha zaidi na shule/chuo
alikotoka.
|
|
|
|
07:45-07:50
|
Comment section/audience.
|
Kupokea simu za wasikilizaji/wanafunzi kubashiri
washindi wa student debate.
|
|
|
|
07:50-07:55
|
King wa student debate leo.
|
Kumtangaza mshindi wa student debate
na kutangaza wiki ijayo shule zitakazo kuwa katika debate
|
07:55-08:00
|
MWISHO
|
Wanafunzi kuwatumia marafiki kadhaa salamu.
|
POSTED BY:www.info@dirayetu.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment