MOYES AOKOLEWA NA KINDA LA MIAKA 18, ASHINDA 2-1 UGENINI, MAN CITY, LIVERPOOL ZAUA LEO!!



WACHEZAJI vijana wengi wamepita Manchester United miaka ya hivi karibuni, lakini wachache ambao wameweza kufanya makubwa kama kinda la ukwelii Adnan Januzaj.
Nyota huyo kinda mwenye umri wa miaka 18,   raia wa UbelgijiThe Belgian,  ameanza kwa mara ya kwanza katika mchezo wake wa kwanza wa ligi kuu kwa kufunga mabao mawili safi kabisa katika kipindi cha pili ugenini dhidi ya Sunderland na kumuokoa kocha wake David Moyes baada ya kupoteza mechi za EPL mara mbili mfululizo.
Mchezaji wa Sunderland, Craig Gardner aliwaweka mbele wenyeji katika dakika ya tano na kumchanganya kichwa kocha Moyes mwenye hamu ya kufanya vizuri.
Kikosi cha SUNDERLAND: Westwood, Celustka, Roberge, O’Shea, Colback, Cattermole, Gardner (Larsson 55), Ki (Wickham 74), Johnson (Ji 64), Giaccherini, Altidore
Kikosi cha MANCHESTER UNITED: De Gea, Rafael (Smalling 85), Vidic, Jones, Evra, Januzaj (Valencia 77), Cleverley, Carrick, Nani (Welbeck 77), Rooney, Van Persie
Jaw dropping: Adnan Januzaj rescued Manchester United with two goals, his second a stunning volley 
Jembe la nguvu: Adnan Januzaj amewaokoa Manchester United baada ya kupiga mabao mawili kipindi cha pili
From zero... Januzaj was booked for diving early on in the second halfKuanzia sifuri… Januzaj alioneshwa kadi ya njano kwa kumdanganya mwamuzi mapema kipindi cha pili
From zero... Januzaj was booked for diving early on in the second half
To hero... Soon after he earned his team the three points 
Hadi ufalme… mapema baada ya timu yake kuvuna pointi tatu
Greeting: Moyes and Ball shake hands before the matchSalamu: Moyes na Ball wakisalimiana kabla ya mechi
Pants! Adnan Januzaj tries to find a way to bring down Sunderlands Ondrej Celustka 
Hadi hizi! Adnan Januzaj akitafuta kila njia kumwangusha nyota wa  Sunderlands , Ondrej Celustka.

 





       
   




       
   




       
   




       
   




       
   




Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment