|  | 
| Chuo kikuu cha Mekerere | 
Chuo kikuu cha Makerere nchini Uganda kimeanzisha uchunguzi kuhusu madai ya kashfa ya shahada bandia katika chuo hicho.
Uchunguzi
 huo unataka kujua ni mazingira gani yaliyosababisha wanafunzi 600 kati 
ya wote waliofuzu zaidi ya elfu 11 kuwekwa katika orodha ya waliohitimu 
bila ya kufikisha viwango vya kuwafanya kufuzu.
Chuo kikuu cha 
Makerere kinaorodheshwa kama taasisi ya elimu ya saba bora katika kanda 
za Afrika mashariki na kati na afrika magharibi.
                            This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
                          
 
 
 
0 comments:
Post a Comment