MBOWE AITOA KASORO SERIKALI JUU YA UTARATIBU WA DAFTARI LA WAPIGA KURA!!

Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akiwasili katika Mkutano wa Baraza la Uongozi wa CHADEMA kanda ya Kaskazini unaofanyika katika Hotel ya New Arusha jijini Arusha,kushoto ni Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini na Mbunge wa Karatu Mchungaji Israel Natse. 

Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akiwa katika  Mkutano wa Baraza la Uongozi wa CHADEMA kanda ya Kaskazini unaofanyika katika Hotel ya New Arusha jijini Arusha kushoto ni Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini na Mbunge wa Karatu Mchungaji Israel Natse,Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar Salimu Mwalimu Salimu (wapili kulia)na Katibu wa Kanda ya Kaskazini Amani Golugwa.
  
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akihutubia  Mkutano wa Baraza la Uongozi wa CHADEMA kanda ya Kaskazini unaofanyika katika Hotel ya New Arusha jijini Arusha.
 
Viongozi wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini wakifuatilia kwa makini Mkutano wa Baraza la Uongozi wa CHADEMA kanda ya Kaskazini unaofanyika katika Hotel ya New Arusha jijini Arusha.

Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akifafanua jambo juu ya daftari la kudumu la wapiga kura katika Mkutano wa Baraza la Uongozi wa CHADEMA kanda ya Kaskazini unaofanyika katika Hotel ya New Arusha jijini Arusha hivi karibuni

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment